NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA CHAMWINO
NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA CHAMWINO
Kwa mujibu wa kibali cha ajira Kumb Na FA 170/360/01/28 cha atrehe 24 Julai na kibali cha Ajira Kumbu Na. CFC 26/2015/01 "F"/91 cha tarehe 22 Agosti 2017 kutoka kwa Katibu Mkuu wa Utumish Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Tawala Bora Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino anawatangazia nafasi za kazi watanzania wenye sifa za kujaza nafasi zifuatazo
B. KAZI NAMAJUKUMU YA MTENDAJI WA KIJJJI III nafasi 4
•Kuratibu na kueirnarnia upanqa]! wa mipango ya maerideteo ya Kijiji.
•Kusimamia ulinzi na Usalarna wa Raia na mali zao
•Kukusanya mapato ya Halmashauri ya Kijiji
•Kusimamia, kukusanya kUhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za ViJiji
•Katibu wa Mikutano ya Halmashauri ya Kijiji
•Kuslmarnia utungaji wa sheria ndogo za Vijiji
•Afisa Masuuttrra MtendaJi Mkuu wa Serikali ya Kijiji
•Kupokea kusikiliza na kutatua rnatatarniko na migogoro ya wananchi
UMRI
Muombaji awe na umri usiopungua miaka 18 na usizidi miaka 45
C.MSHAHARA
•mshahara utatolewa na serikali kulingana na ngazi ya mshahara wa kada na cheo ambacho mwombaji ameajiriwa
MAELEZO YA JUMLA
- mwombaji aawe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
- mwombaji awe na umri usiozidi miaka 45 na awe hajawahi kupatiana na kosa la jinai au kufungwa jela
- maombi yote ya waombaji yaambatanishwe na maelezo binafsi yanayojitoshelaeza
- waombaji waambatanishe nakala za vyeti vya taaluma, elimu ya form 4 na 6 cheti cha kuajiiwa na picha 2 passport size ziandikwe majina kwa nyuma
- testimonials provisonal reslts statement of results hati ya matokeo ya kidato cha 4 na 6 havitakubaliwa
- waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyei vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU au NECTA) na taarifa ya uhakiki imbatinshwe kwenye barua ya maombi
- waombaji waliostaafishwa kwenye Utumishi wa Umma hawataruhusiwa kuomba ispipokuwa kwa kibali cha Katibu Mkuu
- uwasilishaji wa taarifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria
- mwisho wa kutuma mombi nitarehe 19/09/2017 saa 9:30 Alasiri
maombi yatumwe kwa
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO,
S.L.P 1126,
DODOMA
Post a Comment