Halloween party ideas 2015

NAFASI ZA KAZI WILAYA YA MEATU

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu anawatangazia wananchi wote wenye sifa kutuma maombi ya kazi kwa kuzingatia  vigezo na maelekezo katika tangazo hili


1. KATIBU MUHTASI III NAFASI 1

SIFA/UJUZI
Awe na elimu ya kidato cha 4 au 6 waliohudhuria mfuunzo ya Uhazili na kufahulu mtihani wa hatua tatu wawe wamefahulu somo la hati mkato  ya kiswahili na kingereza maneno 80 kwa dakika mona na pia awe amepata mafunzo ya kumpyuta kutooka chuo chochote kinachotambulika na serikali na kupata cheti katika program za Excel, Windows, Microsoft Office, inTENET NA eMAIL NA pUBLISHER

MAJUKUMU
- Kuchapa barua taarifa na nyaraka
- kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao na kuwaelekeza  sehemu wanapoweza saidiwa/kuhudumiwa
- kusaidia kutunza tarufa na kumbukumbu za matukio, miadi, wageni tarehe za vikao safari za mkuu wako pamoja na  ratiba zingine zilizopangwa kutekelezwakatika ofisi ya kazi kumpa taarifa Mkuu wako wakati unaohitajika
- kusaidia kutafuta na kumpa Mkuu  wako majlada, nyaraka au kitu chochote  kinachohitajika kwa shughuli za kazi hapo ofisini
- kusaidia kufikisha maelekezo ya mkuu wako wa kazi  kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu mkuu kuhusu taarufa zote anazotakiwa kupewa na wasaidizi hao
- kutekeleza kazi zote atakazokuwa amepangiwa na msimamizi wake wa kazi

UMRI
Mwombaji asiwe na umri usiopungua miaka 18 na usizidi miaka 40

KIWANGO CHA MSHAHARA
ngazi ya mshahara ni TGS B 1

2. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II NAFASI 2

MAJUKUMU
- kutafuta kumbukumbu/nyaraka /majalada yanayohitajiwa na wasomaji
- kuweka majalada katika makundi
- kuweka kumbu kumbu  katija majalada
- kuthibiti upokeaji wa, uandikishaji wa kumbukumbu/ nyaraka

MWOMBAJI AWE NA
- awe amehitimu elimu ya kidatao cha 4 au 6
- awe amehitimu mafunzo ya utnzaji kumbukumbu angalau katika ngazi ya cheti katika moja wapo ya fani za Afya, Masijala, Mahakama ya Ardhi

UMRI
awe na umri usiopungua miaka 18 na usizidi miaka 40

NGAZI YA MSHARA
Kiwango cha ngazi ya mshara ni TGS B 1

3. DEREVA DARAJA LA II NAFASI NAFASI  1

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa  wahitimu wa kidato cha 4 au 6 wenye leseni daraja la E na C1 ya uendeshaji magariawe na cheti cha majiribio cha ufundi daraja lka II pia awe amehudhuria mafunzo ya msingi yanayotolewa na chuo cha ufundi stadi VETA au chuo kingine  kinachotambuliwa na serikali mwenye ujuzi wa ufundi atapewa kipaumbele

MAJUKUMU
- kukagua gari kabla na baada ya safari  ili kubaini hali ya uslama wa ari
- kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi
- kufanya matengenezo madogo madogo ya gari
- kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
- kujaza na kutunza taarifa za usafiri katika  daftari la safari
- kufanya usafi wa gari

UMRI
Awe na umri usiopungua miaka  18 au usizidi miaka 45

MSHAHARA
Ngazi ya mshahara ni TGOS A


4. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III NAFASI 1

A. SIFA ZA WAOMBAJI

Waombaji wawe na Elimu ya Kidato cha Nne au cha sita namafunzo ya Astashahada au chetl katika moja ya fani zifutazo:-
•Utawala
•Sheria
•Elimu ya .Jamil
•Usimamizi wa Fedha
•Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Jamii kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

B. KAZI NAMAJUKUMU YA MTENDAJI WA KIJJJI III
•Kuratibu na kueirnarnia upanqa]! wa mipango ya maerideteo ya Kijiji.
•Kusimamia ulinzi na Usalarna wa Raia na mali zao
•Kukusanya mapato ya Halmashauri ya Kijiji
•Kusimamia, kukusanya kUhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za ViJiji
•Katibu wa Mikutano ya Halmashauri ya Kijiji
•Kuslmarnia utungaji wa sheria ndogo za Vijiji
•Afisa Masuuttrra MtendaJi Mkuu wa Serikali ya Kijiji
•Kupokea kusikiliza na kutatua rnatatarniko na migogoro ya wananchi

UMRI
Muombaji awe na umri usiopungua miaka 18 na usizidi miaka 45

C.MSHAHARA
•mshahara utatolewa na serikali kulingana na  ngazi ya mshahara  wa kada na cheo ambacho mwombaji ameajiriwa


5. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA II NAFASI 1

SIFA ZA KUINGILIA
Waombaji wawe na Elimu ya Kidato cha Nne au cha sita namafunzo ya Astashahada au chetl katika moja ya fani zifutazo:-
•Utawala
•Sheria
•Elimu ya .Jamil
•Usimamizi wa Fedha
•Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Jamii kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia  ngazi ya mshahara wa serikali ya TGS C Kwa mwezi

VIGEZO NA MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
- awe raia wa Tanzania
- awe na umri kati ya miaka 18 na 45
- maelezo binafsi yakiwa na anuani namba za simu za kuaminika na majina ma3 ya wadhamini  na picha ndogo 2 passport size za hivi karibuni
- mwombaji aambatanishe  nakala za vyeti vya kidato cha 4 na6 na taaluma na wutoka nje ya nchi waambatanishe  barua ya uhakikiwa vyeti vyao  kutoka nacte au necta
- barua zote ziandikwe kwa lugha ya kiswahili au kingereza
- vyeti vyote vya taaluma cha nne na 6 na hdi kuzaliwa vithibitishwe na hakimu/wakili anayetambulika na serikali
- aidha  uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watchukuliwa hatua za  kisheria na mamlaka zao
- mwombaji yoyote  ambaye hatazingatia  mojawapo ya haya maombi yake hayatashughulikiwa

barua zote ziwe na anuani ya mwombaji  (kama ipo)na namba za simu na zitumwe kwa

MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA,
S.L.P 44,
MEATU

tarehe ya mwisho kutuma maombi ni tarehe 26/09/2017 saa 9:Alasiri

Post a Comment

Powered by Blogger.