NAFASI 35 ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME, TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 21 SEPTEMBER 2017
NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same anawatangazia nafasi 35 za kazi maombi ya kujaza nafasi hizo kati ya hizo yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyeto mwenye sifa zifuatazo
MTENDAJI WA KIJIJI NAFASI 34
A. SIFA ZA WAOMBAJI
Waombaji wawe na Elimu ya Kidato cha Nne au cha sita namafunzo ya Astashahada au chetl katika moja ya fani zifutazo:-
•Utawala
•Sheria
•Elimu ya .Jamil
•Usimamizi wa Fedha
•Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Jamii kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
B. KAZI NAMAJUKUMU YA MTENDAJI WA KIJJJI III
•Kuratibu na kueirnarnia upanqa]! wa mipango ya maerideteo ya Kijiji.
•Kusimamia ulinzi na Usalarna wa Raia na mali zao
•Kukusanya mapato ya Halmashauri ya Kijiji
•Kusimamia, kukusanya kUhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za ViJiji
•Katibu wa Mikutano ya Halmashauri ya Kijiji
•Kuslmarnia utungaji wa sheria ndogo za Vijiji
•Afisa Masuuttrra MtendaJi Mkuu wa Serikali ya Kijiji
•Kupokea kusikiliza na kutatua rnatatarniko na migogoro ya wananchi
UMRI
Muombaji awe na umri usiopungua miaka 18 na usizidi miaka 45
C.MSHAHARA
•mshahara utatolewa na serikali kulingana na ngazi ya mshahara wa kada na cheo ambacho mwombaji ameajiriwa
MUHUDUMU WA JIKONI/MESS ATTENDANT NAFASI 1
SIFA ZA MWOMBAJI
awe na elimu ya kidato cha 4
KAZI NA MAJUKUMU
- kusafisha vyombo vya kupikia
- kusafisha vyombo vya kulia chakua
- kusafisha meza itumikayo ulia chakula
- kutayarisha vifaa vya mapishi mezani
- kusaidia kazi za upishi na uandazi mezani
- kufanya kazi zingine atakazo paniwa na mkuu wake wa kazi
NGAZI YA MSHAHARA TGS A
UTRATIBU WA UOMBAJI
i/ Mwombaji awe raia awa Tanzania awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenyee Halmshauri ya Wilaya ya Same
ii/ barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma cheti cha kuzaliwa na passport 2 za hivi karibuni
iii/ waombaji walosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka barala za mitihani taifa NECTA
iv/ waombaji wote wawe na umri kuamzia miaka 18 na usizidi miaka 45
v/ waombaji waliona vigezo wataitwa kwenye usahili
vi/ waombaji watakao itwa kwenye usahili wanatakiwa waje na vyeti vyao halisi
vii/ waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simu
maombi yatumwe kwa
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME,
S.L.P 138,
SAME
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 21/09/2017 saa 9:30 Alasiri
Post a Comment