Halloween party ideas 2015

Details
Application deadline 2017-06-03
Business / Employer name Makazi Investment Ltd
Position Type Full Time
Organization Type Private Sector
Location
Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam
Description
Makazi Investment Ltd inatangaza kazi ya msichana wa usafi kwa ajili ya kufanya usafi ofisi.
Vigezo na msharti ni kama ifuatavyo;-
  1. Awe na uzoefu wa kufanya usafi maofisini,
  2. Umri usizidi miaka 29,
  3. Ofisi ipo makumbusho kijitonyama, muombaji awe anaishi maeneo ya karibu ili iwe rahisi kwake kuwahi ofisini na kufanya usafi,
  4. Elimu kuanzia sekondari, muombaji awe mchangamfu na anayejituma.
namna ya kuomba, piga simu nambari 0656 186 260 utapewa utaratibu

Post a Comment

Powered by Blogger.